• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Karia achukua fomu kuwania urais CECAFA

  (GMT+08:00) 2019-12-03 18:52:54

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzanua (TFF) Wallace Karia amejitokeza kuwania nafasi ya urais wa Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mkuu Desemba 18 mwaka huu jijini Kampala, Uganda. Karia amesema, amefikia uamuzi huo baada ya kuombwa na marais wenzake wa nchi wanachama na kuamini kuwa ana uwezo wa kutoa mchango wake katika kuongoza Baraza hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako