• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kutumia bilioni 13 Olimpiki 2020

    (GMT+08:00) 2019-12-03 18:55:10

    Mkutano wa Kamati ya Olimpiki ya Kenya umeidhinisha Ksh milioni 600 ambazo ni sawa na Tsh bilioni 13 kwa ajili ya bajeti ya michezo ya Olimpiki ya Tokyo mwaka 2020. Rais wa Kamati hiyo Paul Tergat amesema Ksh milioni 250 zitatumika katika maandalizi na kufuzu kwa ajili ya michezo hiyo itakayofanyika kuanzia Julai 24 hadi Agosti 9 katika mji wa Tokyo, Japan. Kamati hiyo inakadiria kuwa Kenya itapelekwa wawakilishi 100 katika michezo hiyo. Karibu wachezaji 49 wamefuzu kushiriki katika mashindano hayo wakiwemo wanariadha 28, waogeleaji wawili na mchezo wa rugby kwa wachezaji saba kwa wanaume na wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako