• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waendeshsaji pikipiki kutumia mita maalum

    (GMT+08:00) 2019-12-03 19:43:07

    Watu wanaofanya biashara ya kubeba abiria kwa kutumia pikip9ki nchini Rwanda wametakiwa kuanza kutumia mita maalum ya kupima muda ya kulipisha wateja wao.

    Waendeshaji hao wa pikipiki wamepewa hadi Julai mwaka ujao kuaza kutumia mita hizo.

    Tayari baaadhi ya wadau wameanza kujisajili kwa mita hizo ambazo pia zitapunguza matumizi ya pesa taslim wakati wa ulipaji.

    Moita hizo zitauzwa na kampuni za Pascal Technology Ltd Rwanda na Altron, ya Afrika Kusini ambazo tayari zimetiasaini makubaliano ya kuwekeza dola milioni 18.

    Rwanda ina zaidi ya wanedeshaji pikipiki 36,000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako