• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rouhani asema Iran iko tayari kurudisha uhusiano na Saudi Arabia kwenye hali ya kawaida

  (GMT+08:00) 2019-12-04 09:24:46
  Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi yake iko tayari kurudisha uhusiano wake na Saudi Arabia kwenye hali ya kawaida. Rais Rouhani amesema hayo kwenye mkutano na waziri wa mambo ya nje wa Oman Yousef Bin Alawi anayefanya ziara mjini Tehran. Amesema nchi zote za Mashariki ya Kati zinapaswa kushikamana ili kuleta amani na utulivu katika kanda hiyo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako