• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BMT yaifungia mbio ya Kigamboni Marathoni

    (GMT+08:00) 2019-12-04 20:33:00

    Baraza la Michezo Tanzania (BMT) imezifungia mbio za Kigamboni International Marathon. Kaimu katibu mkuu wa BMT Neema Msitha amesema, wamefungia mbio hizo kutofanyika kwa mwaka mmoja, ikiwa ni baada ya mbio hizo kufanyika Disemba Mosi huko Kigamboni, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Amesema sababu ya kuzifungia mbio hizo ni kuwa hazikufuata sheria na kanuni za uendeshaji wa mbio za marathon, pia mwandaaji wa mbio hizo alitakiwa kuhakikisha anakamilisha kulipia zawadi alizotakiwa kutoa kwa washindi kabla ya Desemba 12 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako