• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya biashara ya China yasema China na Marekani zikifikia makubaliano ya kipindi cha kwanza zinatakiwa kupunguza ushuru

  (GMT+08:00) 2019-12-05 19:42:48

  Msemaji wa wizara ya biashara wa China Bw. Gao Feng amesema, kama China na Marekani zitaweza kufikia makubaliano ya biashara ya kipindi cha kwanza, zitapaswa kupunguza ushuru.

  Gao Feng amesema, wajumbe wa kiuchumi na biashara wa pande hizo zote mbili wanaendelea kuwasiliana katika mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo ambayo yanafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako