• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kukopa $661 milioni ili kuziba nakisi ya bajeti ya mwaka 2019/2020

    (GMT+08:00) 2019-12-05 20:55:41

    Nchi ya Uganda inapanga kukopa 600 milioni euros ($661 million) kutoka benki za kimataifa ili kuziba nakisi ya bajeti ya mwaka 2019/2020 baada ya makusanyo ya ushuru ya ndani kupungua kwa silimia 9.

    Hatua hiyo huenda ikaongeza wasiwasi kuhusu madeni yanaoyoongezeka ya nchi za Afrika mashariki ambayo Shirika la Fedha la Kimataifa limeonya kuwa huenda ikapita asilimia 50 ya pato la taifa katika mwaka 2021/2022.

    Mwaka wa Fedha wa Uganda huanza mwezi Julai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako