• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Erdogan asema Uturuki itaandaa mkutano wa pili wa pande nne kuhusu Syria mwezi Februari

  (GMT+08:00) 2019-12-06 09:14:26

  Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema mkutano wa pili wa kilele wa pande nne kuhusu Syria kwa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Uturuki utafanyika mjini Istanbul mwezi Februari. Rais Erdogan amesema wamekubaliana kuwa mkutano huo wa kilele wa pande nne unafanyika kila mwaka. Viongozi wa nchi hizo nne walikutana na kujadiliana kuhusu Syria Jumanne pembezoni mwa mkutano wa kilele wa NATO mjini London.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako