• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wiki ya filamu ya China yaanza katika mji mkuu mpya wa Mirsi

    (GMT+08:00) 2019-12-09 09:21:55

    Kituo cha utamaduni cha China huko Cairo kimetangazwa kuzinduliwa kwa wiki ya filamu ya China kwenye kituo cha biashara cha mji mkuu mpya wa nchi hiyo ambao unajengwa na kampuni ya China. Konsela wa utamaduni katika ubalozi wa China nchini Misri Bw. Shi Yuewen amesema, filamu za kichina zinazopendwa zaidi, za Confucius na Ndoto za Amerika nchini China na nyingine kadhaa zitaoneshwa wiki hii, na kutoa fursa kwa wafanyakazi wa mradi huo wa Misri kuifahamu China, na kukuza ushirikiano kati ya wafanyakazi wa China na Misri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako