• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya umeme ya Afrika Kusini yasema mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa umeme

    (GMT+08:00) 2019-12-09 19:36:43

    Kampuni ya Umeme nchini Afrika Kusini Eskom imezilaumu mvua zinazoendelea kunyesha kwa kusababisha umeme kukatika mfululizo kwa siku tano.

    Kutokana na mvua hizo, baadhi ya vituo vya kuzalisha umeme vya kampuni hiyo vimefurika na kusababisha mashine kutofanya kazi vizuri, hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme.

    Tatizo hili limekuja wakati nchi hiyo tayari inakabiliwa na kushuka kwa uchumi wake, na litaathiri zaidi ukuaji wa uchumi wa nchi hiyo wakati ikielekea kwenye msimu wa sikukuu na wakati ambao watalii wengi wanapenda kutembelea nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako