• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuongeza kasi ya kuyafanyia mageuzi makampuni ya serikali na kuboresha mazingira ya bishara ya makampuni binafsi

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:47:25

  Mkutano mkuu wa mwaka wa kazi za kiuchumi wa China umeamua kuwa mwakani China itaimarisha mageuzi ya mfumo wa kiuchumi.

  China pia itaongeza kasi ya kuyafanyia mageuzi makampuni ya serikali na kuboresha matumizi ya mitaji ya kiserikali inayomilikiwa na taifa. Pia itaboresha mazingira ya biashara ya makampuni binafsi, na kutatua tatizo la ugumu wa kukusanya fedha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako