• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda kuandaa Nusu Marathon ya Kigali siku ya Jumapili

  (GMT+08:00) 2019-12-13 08:57:58

  Shirikisho la Riadha la Rwanda likishirikiana na Mji wa Kigali, wanaandaa Nusu Marathon ya Kigali, inayopangwa kufanyika Jumapili, Disemba15. Haya yatakuwa ni mashindasno ya kwanza ya ina hiyo kufanyika tangu mwaka 2004 ambapo yalikuwepo mashindano ya Kimataifa ya Kigali Peace Marathon. Kwa mujibu wa waandaaji, Zaidi ya wakimbiaji 2,000 wanatarajiwa kushiriki. Mbio hizo zikiwa na wastani wa umbali wa km 21.098, pia zitatumika kama mchujo kwa wakimbiaji watakaofuzu kuiwakilisha Rwanda katika mbio za Nusu Marathon Duniani 2020 zitakazofanyika Gdynia, Poland.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako