• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • LANGALANGA: Dereva Charles Leclerc aongeza mkataba wake na Ferrari hadi 2024

    (GMT+08:00) 2019-12-24 10:39:51

    Dereva Charles Leclerc ameongeza mkataba wake na Ferrari kwa miaka miwili hadi 2024, Timu ya Italia na dereva huyo wametangaza jana kwenye Twitter. Leclerc amewika katika msimu wa kwanza pamoja na bingwa mara nne wa dunia Sebastian Vettel, akimaliza wa nne kwenye msimamo wa mbingwa wa dunia 2019. Mkataba wa awali wa Leclerc na italiaulikuwa hadi 2022. Naye Mjerumani Vettel mkataba wake na Ferrari unamalizika baada ya msimu wa 2020 .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako