• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito kuchukulia kuongeza mapato ya wananchi kuwa "lengo la kwanza"

  (GMT+08:00) 2019-12-26 09:09:49

  Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito wa kuchukulia kuongeza mapato ya wananchi haswa wale wenye mapato ya chini kuwa "lengo la Kwanza". Akizungumzia hali ya uchumi wa nchi hiyo, Rais Putin amesema hivi sasa ukuaji wa uchumi bado haujafikia kiwango mwafaka, na inapaswa kuongeza kiwango cha ukuaji wa uchumi kadiri iwezekanavyo ili kuboresha muundo na ubora wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako