• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran yachukua hatua ya mwisho ya kusimamisha makubaliano yake ya nyuklia

  (GMT+08:00) 2020-01-06 09:44:00

  Shirika la habari la Iran IRNA limesema, serikali ya nchi hiyo imetangaza hatua ya tano ambayo pia ni ya mwisho katika kusimamisha utekelezaji wake wa makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 JCPOA.

  IRNA imeinukuu taarifa iliyotolewa na serikali ya nchi hiyo ikisema, mpango wa nyuklia wa Iran hautakubali vikomo vyovyote, na kuanzia sasa mpango huo utasonga mbele kukidhi mahitaji yake yenyewe ya kiufundi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako