• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ronaldo aweka rekodi mpya Serie A

  (GMT+08:00) 2020-01-07 17:39:39

  Staa wa kimataifa wa Ureno na club ya Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo ameanza kuandika rekodi ndani ya Ligi Kuu Italia (Serie A) kama inavyokuwa kawaida yake. Ronaldo baada ya kufunga hat-trick katika ushindi wa jana wa Juventus wa magoli 4-0 dhidi ya Cagliari, umemfanya kufikisha jumla ya hat-trick ya 56 katika maisha yake ya soka. Hata hivyo sio rekodi hiyo pekee aliyoiweka Ronaldo ila hat-trick hiyo inamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kutokea Taifa la Ureno kuwahi kufunga hat-trick katika historia ya Serie A.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako