• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UAE yaahidi kuunga mkono kwa nguvu zote maendeleo ya Sudan

    (GMT+08:00) 2020-01-14 09:50:33

    Umoja wa Falme za Kiarabu UAE umesisitiza ahadi ya kuunga mkono miradi ya maendeleo ya Sudan. Kauli hii ilitolewa na waziri wa mambo ya nje wa UAE Bw. Anwar Gargash aliyeko mjini Khartoum kwenye mikutano mbalimbali na maofisa wa serikali ya mpito ya Sudan. Bw. Gargash amewaambia wanahabari kuwa UAE itaisaidia Sudan kupata mafanikio na maendeleo ya uchumi ili nchi hiyo ioneshe nafasi yake ya asili kama moja ya nchi muhimu za kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako