• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Baraza la Usalama la UM lafanya mikutano 258 na kupitisha maazimio 52 mwaka 2019

  (GMT+08:00) 2020-01-14 09:51:21

  Kwa mujibu wa ripoti ya utendaji kazi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2019 iliyotolewa jana, Baraza hilo lilifanya mikutano 258, kupitisha maazimio 52 na kutoa taarifa 15 za mwenyekiti. Ripoti inasema Baraza hilo lenye majukumu ya msingi katika kulinda amani na usalama wa kimataifa, lilijadili ajenda 49 na kutuma ujumbe katika nchi mbalimbali zikiwemo Ethiopia na Sudan Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako