• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uzinduzi wa matumizi ya teknolojia za 5G+8K/4K/VR kwenye Tamasha la Sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa kichina la CMG wafanyika

  (GMT+08:00) 2020-01-14 16:29:29

  Hafla ya uzinduzi wa matumizi ya teknolojia mpya za 5G+8K/4K/VR kwenye Tamasha la Sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa kichina la Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) imefanyika leo katika Kituo cha Media.

  Ofisa wa CMG amesema, shirika hilo linafuata maagizo muhimu ya rais Xi Jinping wa China katika kuhimiza muungano wa vyombo vya habari, kuweka mkazo katika teknolojia muhimu, na kusukuma mbele mkakati wa maendeleo ya "5G+4K/8L+AI", ili kueneza kwa pande zote aina zote za vyombo vya habari, na kuwaletea watazamaji hisia mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako