• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Simba yaifuata Mbao mapemaaa

  (GMT+08:00) 2020-01-14 16:32:52

  Kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sports Club kinatarajiwa kuwasili Mwanza hii leo tayari kwa mechi yao dhidi ya wenyeji Mbao FC itakayochezwa alhamis kwenye Uwanja wa CCM Kirumba. Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesesma kikosi hicho kimeamua kwenda mapema jijini humo ili kuwapa nafasi ya kupumzika wachezaji wao ambao wametoka katika fainali ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Amesema hakuna mchezaji ambaye ni majeruhi, na benchi la ufundi limedhamiria kuona wachezaji wanapambana kila mchezo ulio mbele yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako