• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Algeria yafanya mazoezi ya kijeshi katika mpaka na Libya

    (GMT+08:00) 2020-01-15 09:28:00

    Jeshi la Algeria limefanya luteka katika mpaka na Libya chini ya usimamizi wa mkuu wa mpito wa jeshi Said Chengriha. Wizara ya Ulinzi ya Algeria imesema Chengriha leo atafanya ziara katika eneo la nne la kijeshi la Quargla, si mbali na mpaka na Libya, akifuatilia utekelezaji wa mpango wa mapambano wa vitengo vya jeshi katika maeneo yote ya kijeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako