• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali yadhibitiwa baada ya milio ya risasi nchini Sudan

    (GMT+08:00) 2020-01-15 09:51:38

    Waziri mkuu wa Sudan Bw. Abdalla Hamdok amesema hali imedhibitiwa baada ya milio ya risasi kutokea katika eneo karibu idara ya ujasusi nchini humo.

    Bw. Hamdok amewahakikishia raia kuwa, tukio hilo limedhibitiwa na halitaizuia serikali kutekeleza malengo ya mageuzi. Amesisitizza kuwa ana imani na kikosi cha usalama katika kulinda usalama wa ndani. Naibu mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Sudan Mohamed Hamdan Daqlu amemshutumu mkuu wa zamani wa idara ya usalama Bw. Salah Abdallah kupanga shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako