• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwekezaji wa China kuhimiza ongezeko la uchumi wa Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2020-01-15 17:30:40

    Mkuu wa taasisi ya utafiti wa usimamizi wa mali ICEA LION Bw. Judd Murigi jana amesema, uwekezaji wa China unahimiza ongezeko la uchumi wa Afrika Mashariki.

    Bw. Judd amesema, kutokana na kasi ya ongezeko la uchumi wa China kupungua, wawekezaji wa China wanatafuta masoko mapya yenye fursa ya kukua.

    Amesema ongezeko kubwa la uchumi katika kanda ya Afrika Mashariki linatokana na uwekezaji wa miundombinu ya umma. Nchi za Afrika Mashariki zimenufaika kutoka barabara mpya, reli na vituo vya nishati ambazo zimesaidia kuufanya uchumi uwe na ushindani.

    Ameongeza kuwa, katika mwaka 2020 nchi nyingi za Afrika Mashariki zinatarajia kuwa na wasatani wa ongezeko zaidi asilimia 6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako