• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali ya kawaida yarejea katika mji mkuu wa Sudan baada ya mvutano

    (GMT+08:00) 2020-01-15 20:56:34

    Hali ya kawaida imerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, Jumatano, baada ya siku moja ya uasi uliofanywa na kundi lililo chini ya Idara Kuu ya Upelelezi. Mnadhimu mkuu wa jeshi la Sudan Mohamed Osman Al-Hussein amesema, wanajeshi wawili wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa, wakiwemo maofisa wawili, wakati wa operesheni ya kudhibiti tena jengo la Idara Kuu ya Upelelezi (GIS).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako