• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Uganda azindua kituo cha mafunzo ya ustadi wa kiviwanda na uzalishaji nchini humo

    (GMT+08:00) 2020-01-16 10:25:18

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezindua kituo cha mafunzo ya ustadi wa kiviwanda na uzalishaji katika Eneo la viwanda la Namanve, Wakiso.

    Rais Museveni amesema kituo hicho chenye thamani ya dola za Marekani milioni 30, ni muhimu katika kuharakisha mchakato wa maendeleo ya Uganda. Amesema kituo hicho si kama tu kitatoa mafunzo kwa wenyeji, bali pia kitatengeneza vifaa vya mitambo kwa kutumia teknolojia za kisasa. Pia ameishukuru China kwa misaada endelevu ya kusaidia maendeleo ya uchumi wa Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako