• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kuwapeleka maveterani zaidi ya 2,500 nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2020-01-16 10:51:11

    Jeshi la Uganda limesema linawarudisha maveterani 2700 ili kuunga mkono askari waliopelekwa kwenye Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM. Kamanda wa Jeshi la UPDF Luteni Jenerali Charles Otema amesema maandalizi yote yatakamilishwa kwa ajili ya kazi ya kuwarudisha wanajeshi hao, ambayo itaanza jumatatu ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako