• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la chini la Bunge la Marekani lawasilisha nyaraka dhidi ya Trump katika baraza la juu la bunge

    (GMT+08:00) 2020-01-16 10:52:02

    Baraza la chini la Bunge la Marekani limewasilisha rasmi nyaraka za kumwondoa madarakani rais Donald Trump kwa baraza la seneti la bunge linaloongozwa na chama cha Republican ili kuwezesha suala lake lianze kusikilizwa wiki ijayo. Rais huyo ameshtakiwa na baraza la chini la bunge linaloongozwa na chama cha Democratic kutokana na kutumia vibaya madaraka na kuzuia bunge katikati ya mwezi wa Desemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako