• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Nyota wapya wampa mzuka Tshishimbi

    (GMT+08:00) 2020-01-16 17:23:24

    Nahodha wa timu ya Yanga nchini Tanzania Papy Tshishimbi ameupongeza uongozi wa timu hiyo kwa kufanya usajili mzuri kwenye dirisha dogo. Nahodha huyo amesema, ujio wa nyota wapya waliosajiliwa katika dirisha dogo umeongeza uhai na kuziba nafasi zilizoachwa wazi huku akiweka wazi kuwa, nafasi ya kufanya kwenye iko wazi na msimu ujao watashiriki michuano ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako