• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kiungo Akumu asajili Kaizer Chiefs

    (GMT+08:00) 2020-01-16 17:24:27

    Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Anthony Agay Akumu amekamilisha uhamisho wa kujiunga na miamba ya soka nchini Afrika Kusini, Kaizer Chiefs akitokea Zesco United ya Zambia. Akumu ambaye pia ni mmoja wa nyota watatu wa Kenya waliokuwa katika kikosi cha mabingwa hao wa Zambia, ameondoka Zesco baada ya kumaliza mkataba wake. Akumu ameichezea timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars mara 38.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako