• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Manchester United yadaiwa kumnasa Kalidou Koulibaly

    (GMT+08:00) 2020-01-16 17:24:48

    Inadaiwa kuwa timu ya Machester United imekamilisha dili la kumsajili beki wa kati wa Napoli, Kalidou Koulibaly kwa gharama ya paunsi milioni 60. Koulibali pia amehusishwa na Tottenham na timu nyingine, lakini Man United ndio imefanikiwa kunasa saini ya mwanasoka huyo. Hata hivyo, Koulibaly hatajiunga na timu hiyo mwezi huu, na atasubiri hadi mwisho wa msimu huku saini yake ikitajwa kuwa kitu muhimu kwenye kuimarisha beki ya wababe hao wa Old Trafford.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako