• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Uturuki asema nchi hiyo itaanza kupeleka askari wake Libya

    (GMT+08:00) 2020-01-16 20:28:28

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki leo amesema nchi hiyo inapeleka askari wake nchini Libya ili kuunga mkono Serikali ya Umoja ya Libya inayoungwa mkono na Umoja Mataifa.

    Rais Erdogan ameyasema hayo kwenye mkutano wa tathimini wa mwaka 2019 uliofanyika katika kituo cha mikutano na utamaduni mjini Ankara. Amesema Uturuki inapeleka askari wake Libya ili kuhakikisha uwepo na utulivu wa serikali ya nchi hiyo. Ameongeza kuwa, Uturuki itaendelea kuhamasisha njia zake zote za kisiasa, kibiashara, kibinadamu, kidiplomasia na vifaa vya kijeshi kuhakikisha usalama wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako