• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani na Russia zafanya mazungumzo kuhusu usalama wa kimkakati

    (GMT+08:00) 2020-01-17 09:47:31

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema, nchi hiyo na Russia zimefanya mazungumzo ya usalama wa kimkakati mjini Vienna, kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo udhibiti wa silaha na utulivu wa mikakati, na pande hizo mbili zimekubaliana kuanzisha mawasiliano ya wataalamu hivi karibuni kuhusu mada maalum. Muda wa makubaliano mapya ya kupunguza silaha za kimkakati yaliyofikiwa mwaka 2010 na nchi hizo mbili ili kudhibiti idadi ya mabomu ya nyukilia na vifaa vya kuyarusha, utaisha mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako