• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Utawala la Sudan lateua mkuu mpya wa ujasusi

    (GMT+08:00) 2020-01-17 09:54:45

    Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Sudan Bw. Abdel Fattah al-Burhan amemteua Bw. Jamal Abdul-Majeed kuwa mkuu mpya wa idara ya ujasusi GIS ya nchi hiyo.

    Taarifa iliyotolewa na baraza hilo imesema, baraza hilo limekubali ombi la mkuu wa zamani wa GIS Bw. Luteni Jenerali Abu-Bakr Dambalab kujiuzulu, baada ya uasi wa kikosi cha idara ya operesheni ya GIS uliotokea siku mbili zilizopita. Habari zinasema, baraza la mpito la kijeshi lilifuta idara hiyo mwezi wa Agosti mwaka jana na kuathiri wafanyakazi elfu 13.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako