• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wapongeza kusainiwa kwa makubaliano ya biashara katika kipindi cha kwanza kati ya China na Marekani

    (GMT+08:00) 2020-01-17 16:51:22

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Liu Zhenmin amepongeza kusainiwa kwa makubaliano ya biashara katika kipindi cha kwanza kati ya China na Marekani.

    Bw. Liu ameeleza kuwa, pande zote zinaona kuwa kusainiwa kwa makubaliano hayo kutainufaisha China, Marekani na hata dunia. Pia amesema China na Marekani kudumisha uhusiano wenye utulivu wa uchumi na biashara kuna umuhimu mkubwa kwa utulivu na ukuaji wa uchumi duniani. Akisema:

    "Mwaka 2020, uchumi wa dunia ukidumisha utulivu unahitaji kuondoa matatizo mengi. Nchi mbalimbali pia zinahitaji kuimarisha ushirikiano katika sekta muhimu zinazodumisha ukuaji wa uchumi zikiwemo biashara, uwekezaji na matumizi."

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako