• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Azam waanza tambo kwa Yanga

    (GMT+08:00) 2020-01-17 17:21:43

    Timu ya Azam FC imeitumia salamu Yanga kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hapo kesho. Kocha msaidizi wa Azam, Idd Cheche amesema wana matumaini makubwa ya kuendeleza ushindani katika mchezo huo, na kwamba wakuwa na tahadhari kubwa. Amesema mchezo huo utakuwa wa vuta nikuvute kutokana na ukweli kwamba timu hizo zinapokutana hutoa ushindani mkali kwa kuwa timu zote zina wachezaji wazuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako