• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Barcelona yamtimua kocha

    (GMT+08:00) 2020-01-17 17:22:30

    Klabu ya Barcelona imemteua Quique Satien kuwa kocha wake mpya baada ya kumfukuza Ernesto Valverde. Hii ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo kumfukuza kocha katikati ya msimu ndani ya miezi 17 na wanafanya hivyo licha ya Barcelona kuwa kileleni mwa La Liga kwa sasa. Kocha huyo aliwahi kuhusishwa na kuhamia Watford mwanzoni mwa mwezi uliopita kabla ya kumsainisha Nigel Pearson.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako