• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mwanariadha wa ngazi ya juu awakimbia wapimaji wa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu

    (GMT+08:00) 2020-01-17 17:23:11

    Mwanariadha maarufu wa Kenya amekimbia kufanyiwa vipimo vya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu baada ya wapimaji kutembelea kambi yao iliyopo Kapsabet, kaunti ya Nandi bila taarifa ili kuchukua vipimo. Kenya ni maarufu kwa mbio ndefu na za kati za Marathon, lakini hivi karibuni imegubikwa na kashfa ya matumizi ya dawa zilizokatazwa, ambapo karibu wanariadha 50 wa nchi hiyo wamefungiwa kwa matumizi ya dawa hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako