• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 8,000 wapewa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Rwanda

    (GMT+08:00) 2020-01-19 17:27:20

    Watu 8,000 wa Rwanda wamepewa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola huko Rubavu na Rusizi kwenye mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    Serikali ya Rwanda ilizindua kampeni ya chanjo dhidi ya Ebola mwezi Desemba mwaka jana, ili kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola kutoka DRC.

    Wizara ya afya ya Rwanda imesema lengo la kampeni hiyo ni kutoa chanjo 200,000 dhidi ya Ebola kwa watu ambao huvuka mpaka mara kwa mara na kwa wale wanaoishi katika wilaya kwenye mpaka kati ya Rwanda na DRC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako