• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bondia Mtanzania Salim Mtango atamba kubakisha ubingwa wa dunia wa UBO

    (GMT+08:00) 2020-01-20 09:18:27

    Bondia Mtanzania Salim Mtango ametamba kubakisha ubingwa wa dunia wa UBO nchini Tanzania mara atakapocheza pambano lake la Ubingwa wa Dunia Januari 31 2020 kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga dhidi ya Suriya Tatakhun wa Thailand katika pambano la raundi 12. Pambano hilo litatanguliwa na mapambano mengine 6 ya utangulizi moja kati yao likiwa la Ubingwa pia. Mtango kwa sasa yuko kambini jijini Dar es Salaam chini ya kocha Rashid Matumla ambaye anamnoa kuhakikisha anafanya maandalizi yatakayomfanya kuwa Bingwa, promota wa pambano Ally Mwanzoa amesema maandalizi yamekamilika na mpinzani wa Mtango atawasili Tanzania siku saba kabla ya pambano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako