• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maeneo matano nchini Tanzania yatarajiwa kutumia gesi asilia

    (GMT+08:00) 2020-01-20 09:28:10

    Naibu waziri wa nishati wa Tanzania Subira Mgalu amesema nchi hiyo inapanga kusambaza gesi asilia katika maeneo matano yakiwemo Arusha, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Morogoro kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani, ili kupunguza utegemezi kwa umeme. Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania TPDC litashughulikia ujenzi wa miundo mbinu kwa ajili ya mradi huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako