• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi ya Morocco yazuia tukio kubwa la uhamiaji haramu

    (GMT+08:00) 2020-01-20 09:29:49

    Shirika la habari la serikali ya Morocco limesema wahamiaji zaidi ya 400 kutoka nchi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara jana Jumapili walijaribu kuvuka mpaka na kuingia kwenye eneo la Ceuta linalomilikiwa na Hispania. Baadhi ya wahamiaji hao na askari 24 walijeruhiwa kwenye tukio hilo. Polisi ya Morocco imewakabidhi wahamiaji hao kwa idara husika za nchi hiyo kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako