• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Nyambai ashinda mashindano ya mbio za Kisumu

    (GMT+08:00) 2020-01-20 18:19:11

    Godwin Nyambai na Ziporah Nyamusi nu washindi wa mwaka 2020 wa mbio za nyika za Kisumu. Nyambai kutokea Kisumu alitumia dakika 35 na sekunde tano katika njia ngumu chini ya jua kali kushinda mbio hizo za kilomita 10 kwa wanaume. Amesema ushindi wake umetokana na kazi ngumu na nia ya kushinda mashindano hayo ya kikanda. Clarkson Otieno anayetokea Muhoroni alichukua nafasi ya pili kwa kutumia dakika 35 na sekunde sita huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Paul Chacha aliyetumia dakika 39:40.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako