• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirikisho la wafanyabiashara la wachina nchini Zimbabwe yachangia bidhaa shule nchini humo

    (GMT+08:00) 2020-01-21 09:50:54

    Chini ya uungaji mkono wa Ubalozi wa China nchini Zimbabwe, shirikisho la wafanyabiashara la wachina nchini humo limechangia bidhaa mbalimbali kwa Houssana Love kwenye Nyumba ya Watoto na Shule ya Msingi ya Hassana huko Harare. Shirikisho hilo pia limeboresha miundo mbinu katika shule hiyo kwa kukarabati madarasa na bweni, na kujenga choo kipya na bwawa la samaki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako