• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kwanza wa uwekezaji kati ya Uingereza na Afrika wafanyika ili kukabiliana na changamoto kutokana na Brexit

    (GMT+08:00) 2020-01-21 09:51:20

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson ameendesha Mkutano wa kwanza wa kilele wa uwekezaji kati ya Uingereza na Afrika ukiwa ni sehemu ya juhudi za serikali ya nchi hiyo katika kutatua changamoto mbalimbali kutokana na Uingereza kujiandaa kujitoa Umoja wa Ulaya tarehe 31 Januari. Bw. Johnson amesema wanataka kujenga mustakabali mpya wa taifa hilo lenye biashara huria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako