• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • HOCKEY: Wananchi yafufuka na kutetea taji lake

    (GMT+08:00) 2020-01-21 17:06:42

    Timu ya mpira wa magongo ya Wananchi nchini Uganda imeishinda Weatherhead 4 – 3 na kushinda Ligi ya Mpira wa Magongo ya Baati nchini humo ikiwa na pointi 63. Mechi hii ilikuwa ngumu kutokea katika mzunguko wa mpira wa magongo nchini Uganda. Weatherhead walikuwa na nafasi kubwa kabla ya mechi hiyo kutokana na kampeni yao kupitia mitandao ya kijamii, na kudhihirika katika mechi wakati Moses Tushabe alipoanza kwa ushindi. Lakini Wananchi haikuwa nyuma na ilicheza kwa ujuzi mkubwa na kuweza kunyakua Kombe hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako