• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OLIMPIKI: Japan imejiandaa kwa mashindano ya Olimpiki licha ya changamoto

    (GMT+08:00) 2020-01-21 17:08:58

    Sintofahamu juu ya ushiriki wa Russia kwa mara ya tatu mfululizo kwenye mashindano ya Olimpiki na wasiwasi wa joto kali ni changamoto zinazokabili maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ya Tokyo ya mwaka 2020, ikiwa imebaki miezi sita tu kabla ya kuanza kwa michezo hiyo. Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach amesema, mji mkuu huo wa Japan umekwepa migogoro mingi iliyotokea katika michezo iliyopita. Amesema mji wa Tokyo ni mji uliojiandaa vyema kuwa mwenyeji wa mashindano hayo kuliko miji mingine, na viwanja vyote vimekamilika muda mrefu kabla ya ratiba iliyopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako