• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: KMKM yatamba kutwaa taji la FA

    (GMT+08:00) 2020-01-21 17:09:15

    Klabu ya soka ya KMKM inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, imetamba kufanya vyema katika mashindano ya FA Cup 2020. Kocha mkuu wa timu hiyo Ame Msimu amesema, kikosi chake kinajiandaa na kimejipanga kikamilifu, na kuongeza kuwa timu zote anazijua udhaifu wake na hala cha kuogopa. Pia amesema, kutokana na marekebisho waliyofanya katika kikosi chake, anaamini kuwa watatimiza malengo ya kutwaa Kombe hilo mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako