• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Formula 1 yafanya mabadiliko kwenye mipango yake ya kufanya mashindano ya Miami Grand Prix

    (GMT+08:00) 2020-01-22 09:46:18

    Formula 1 imefanya mabadiliko zaidi kwenye mipango yake ya kufanya mashindano ya Miami Grand Prix ikitarajia kwamba itapindua pingamizi wanayopata kuhusu mbo hizo kutoka kwa wenyeji. F1 imelazimika kuachana na eneo la kwanza lililopangwa kufanyikia mbio hizo za magari, ambalo ni katikati ya mji na ni juu ya daraja. Hata hivyo juhudi za mwanzo za kukubaliana juu yam bio hizo kwenye uwanja wa Miami Dolphins wa NFL pia zimegonga mwamba. Mabadiliko hayo ymekuja kanbla ya mkutano muhimu wa makamishna wa kaunti ya Miami-Dade unaofanyika leo. Kwenye mkutano huo, makamishna watapigia kura pendekezo la kubadili haki za uwanja na kuondoa haki ya kufanya mmbio hizo, hatua ambayo itazuia kufanyika kwa grand prix. F1 imekuwa ikishaurina na wenyeji na wadau mbalimbali wa Miami ikilenga kuwashawishi wenyeji kuunga mono grand prix.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako