• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiwango cha maji ya bwawa la Zimbabwe chaongezeka

  (GMT+08:00) 2020-01-23 09:31:41

  Takwimu kutoka Mamlaka ya taifa ya maji ya Zimbabwe ZINWA zimesema kiwango cha maji kwenye bwawa la taifa nchini Zimbabwe kimefikia asilimia 49.2 Januari 20, likiwa ni ongezeko la asilimia 0.88 kutoka kiwango cha Januari 13. Ongezeko hilo kutokana na mvua kubwa zilizonyeshwa katika sehemu kubwa nchini humo katika wiki iliyopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako