• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yapewa 5 uzalishaji mchele

    (GMT+08:00) 2020-01-28 19:08:30
    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazozalisha mchele mzuri na safi na ambao una thamani ukilinganishwa na unaozalishwa Msumbiji, Kenya, Rwanda na Burundi.

    Sambamba na hilo imetajwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya wanawake wanaozalisha kwa wingi zao hilo, ambapo huzalisha tani 5-8 kwa hekta ukilinganisha na nchi ya Msumbiji na Kenya.

    Haya yamebainishwa na mtaalamu wa kilimo kutoka jimbo la Zambezia nchini Msumbiji, Jaime Gado.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako